Manage dropshipping ops
Zendrop helps ecommerce merchants manage dropshipping operations from ChatGPT. Users can search the Zendrop catalog, add and import products to connected stores, inspect store, order, billing, and performance data, update fulfillment and tracking settings, preview fulfillment costs, and confirm guarded order fulfillment, cancellation, address, and product-linking workflows.
Ikiunganishwa kwenye Zendrop, ChatGPT inaweza kushiriki mazungumzo na kumbukumbu husika na programu hii ili kusaidia kutoa muktadha wa maombi yako. Matumizi ya data hii na Zendrop yanategemea masharti na sera yake ya faragha. Iwapo umewasha Kumbukumbu, data kutoka kwa programu inaweza kutumika kukupa mapema taarifa au mapendekezo muhimu. ChatGPT huheshimu kila wakati mapendeleo yako ya data ya mafunzo, ikiwemo data kutoka kwa programu zilizounganishwa. Kutumia programu kunaweza kuleta hatari kubwa. Unaweza kudhibiti mapendeleo yako au kukatisha muunganisho wa programu wakati wowote kwenye mipangilio yako. Pata maelezo zaidi