Profile buyers and accounts
Humantic AI brings buyer intelligence into ChatGPT. Connect your Humantic account to read any prospect's DISC personality from a LinkedIn URL or work email (Agent Pi), generate account-research reports on target companies with buyer-intent signals (Agent Miia), and draft outreach matched to a recipient's personality. Humantic AI is our own product; this connects ChatGPT directly to Humantic's platform. A Humantic subscription is required and usage draws on your existing Humantic credits.
Ikiunganishwa kwenye Humantic AI, ChatGPT inaweza kushiriki mazungumzo na kumbukumbu husika na programu hii ili kusaidia kutoa muktadha wa maombi yako. Matumizi ya data hii na Humantic AI yanategemea masharti na sera yake ya faragha. Iwapo umewasha Kumbukumbu, data kutoka kwa programu inaweza kutumika kukupa mapema taarifa au mapendekezo muhimu. ChatGPT huheshimu kila wakati mapendeleo yako ya data ya mafunzo, ikiwemo data kutoka kwa programu zilizounganishwa. Kutumia programu kunaweza kuleta hatari kubwa. Unaweza kudhibiti mapendeleo yako au kukatisha muunganisho wa programu wakati wowote kwenye mipangilio yako. Pata maelezo zaidi