Create classroom quizzes
Create multiple-choice quizzes from a topic or your lesson notes. Review 1–20 questions with 2–4 choices and one correct answer per question, simplify them, or translate them. Open the preview in Funlearny, sign in, and choose Save to keep it as a private draft. Designed for teachers and adult learning-content creators. Quizzes are never published automatically.
Ikiunganishwa kwenye Funlearny, ChatGPT inaweza kushiriki mazungumzo na kumbukumbu husika na programu hii ili kusaidia kutoa muktadha wa maombi yako. Matumizi ya data hii na Funlearny yanategemea masharti na sera yake ya faragha. Iwapo umewasha Kumbukumbu, data kutoka kwa programu inaweza kutumika kukupa mapema taarifa au mapendekezo muhimu. ChatGPT huheshimu kila wakati mapendeleo yako ya data ya mafunzo, ikiwemo data kutoka kwa programu zilizounganishwa. Kutumia programu kunaweza kuleta hatari kubwa. Unaweza kudhibiti mapendeleo yako au kukatisha muunganisho wa programu wakati wowote kwenye mipangilio yako. Pata maelezo zaidi